Riek Machar afikishwa mahakamani kwa tuhuma za uhainiRiek Machar afikishwa mahakamani kwa tuhuma za uhaini

Kesi ya jinai inayomkabili makamu wa rais aliyesimamishwa kazi nchini Sudan Kusini ilianza Jumatatu katika mji mkuu, Juba. Riek Machar amefikishwa mahakamani pamoja na washtakiwa wenzake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *