Wakazi Sumbawanga wameiomba serikali wilayani humo kuhakikisha inaondoa vikundi vya vijana wanaochezesha Kamari, waliopiga kambi kwenye mageti ya kuingilia katika soko la Sabasaba na Mandela, ambapo wanawalazimisha watu kucheza michezo hiyo kisha kuwatapeli fedha zao.

Nini kifanyike kutokomeza vikundi vya vijana wanaochezesha Kamari katika maeneo ya umma Tuandikie maoni yako.

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *