Kampuni 408 za Tanzania zimepata usajili wa mamlaka kuu ya forodha ya Jamhuri ya Watu wa China na kuruhusiwa kusafirisha mazao ya kilimo kwenda nchini humo, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha biashara baina ya mataifa hayo mawili.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *