CAFCL: Mchambuzi wa soka ambaye pia ni mtangazaji @leomusikula_tz amezichambua takwimu za Yanga SC katika mechi za ugenini katika michuano ya CAF, akianzia mwaka 2023.

Msikilize mchambuzi huyu ili ujue mwenendo wa Yanga hasa wawapo ugenini.

Leo Yanga itamenyana na AS FAR kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), saa 4:00 usku kwa saa za Tanzania na itakuwa LIVE #AzamSports2HD

#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #CAFChampionsLeague

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *