Takataka ni msamiati wa kale katika lugha ya Kiswahili unaomanishana vitu visivyokuwa na maana tena huku wengine wakiita uchafu lakini kwa Dkt. Elbahati Kimaro mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro msamiati huo umegeuka kuwa ajira na ukombozi wa wakulima.

Yeye hutengeneza mbolea kwa kutumia taka ngumu anazozichakata upya.

Enos Masanja akiwa na maafisa waandamizi wa kilimo kutoka wilaya kadhaa za mkoani Kilimanjaro wametembelea kiwandani kwake katika wilaya ya Hai.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *