Muziki wa reggae, unaotambulika zaidi katika visiwa vya Caribbean nchini Jamaica , lakini sasa unapata sauti mpya kutoka nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, Kupitia lugha ya Kihehe, mwanamuziki INOCENT NGANYAGWA maarufu kama Ras Ino anauunganisha muziki wa reggae na urithi wa kabila la Wahehe, safari iliyoanzia kitongoji cha Ndiuka mkoani Iringa hadi nchini Jamaica.
Ras ino kwa sasa ameamua kuutafsiri muziki wa rege kwa lugha yake mama ili kueleza ushujaa wa wahehe sambamba na kukemea vitendo viovu katika jamii yake kama anavyoeleza Muhammad nyaulingo .
#AzamTVUpdates
Mhariri | @rajjmsangi