Kitoweo cha samaki kutoka katika vyanzo vya asili ikiwemo bahari na maziwa kimeendelea kuadimika na kusababisha walaji na wafanyabiashara kuwa na wakati mgumu.
Hata hivyo, ufugaji wa samaki kwa vizimba unaonekana kuwa suluhisho la changamoto hiyo.
Mtaalamu wa ufugaji samaki, Ali Kassim ameelezwa fursa iliyopo katika ufugaji samaki.
✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates