
Somalia imetangaza mnamo Februari 9, 2026, kusainiwa kwa makubaliano ya kijeshi na Saudi Arabia, wakati ambapo Pembe ya Afrika inakuwa eneo la vita kati ya mataifa ya Ghuba ya Uajemi.
Imechapishwa: Imehaririwa:
Dakika 1 Wakati wa kusoma
Matangazo ya kibiashara
Waziri wa Ulinzi wa Somalia Ahmed Moallim Fiqi na mwenzake wa Saudia, Mwanamfalme Khalid Bin Salman, wamesaini “makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi” leo Jumatatu Januari 9, kulingana na taarifa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Somalia.
Itifaki ya makubaliano ili kuimarisha ulinzi wa pande mbili na ushirikiano wa kijeshi, kulingana na Wizara ya Ulinzi ya Somalia
Kusainiwa huku kunakuja mwezi mmoja na nusu baada ya Israel kutambua uhuru wa Somaliland, moja ya majimbo ya Somalia ambalo lilijitenga na nchi hii mnamo mwaka 1991, lakini Mogadishu bado inaiona kuwa chini ya udhibiti wake.
Mogadishu pia inatafuta usaidizi wa kiufundi wa hali ya juu na vifaa vya kijeshi kutoka kwa nchi washirika wake ili kulinda uadilifu wa eneo lake na anga yake