Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amekutana na Rais Donald Trump wa Marekani kwa lengo la kujadiliana kuhusu mipango ya nyuklia ya Iran.
Kwa sasa Israel inashinikiza Iran idhibitiwe katika urutubishaji wa aina yoyote wa madini ya urani.

Faraja Samo ameandaa taarifa ya kina.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *