Afisa mtendaji Mkuu kutoka Nukta Africa ,Nuzulack Dausen amesema anaamini licha ya tasnia ya uandishi wa habari kukabiliwa na tishio la Akili Unde ‘kuchukua nafasi ya tasnia ya redio’ lakini bado tasnia hiyo inapaswa kuongozwa na binadamu.

Unakubaliana nae?

✍Halima Abdallah
Mhariri | @moseskwindi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *