Wajasiriamali wadogo nchini wanatarajiwa kunufaika na huduma mpya ya #PayLikeALocal inayowezeshwa na #AzamPesa kupitia kufanya malipo kimtandao kwa #AzamPesa kulipia bidhaa kwenye maduka, barabarani na maeneo mbalimbali bila kulazimika kubadilisha fedha za kigeni kuwa Shilingi za Tanzania.
Naibu Waziri wa Maliaasili na Utalii, Hamad Chande amepongeza ubunifu wa #AzamPesa katika kufanikisha huduma hiyo na kuwaongezea fursa wajasiriamali wadogo kuwa sehemu ya mafanikio hayo.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)