#SPECIALINTERVIEW: Usikose Kipindi cha Mahojiano Maalum na Kaimu Balozi wa Marekani, nchini Tanzania Bw.Andrew Lentz, akizungumzia mahusiano kati ya Marekani na Tanzania, katika nyanja za Diplomasia, Uchumi na Biashara.
Usikose Mahojiano haya siku ya Jumatano saa 3:35 usiku hapa ITV.