Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amekagua maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) mkoani Tanga.
Waziri Mkuu ambaye yuko mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi amepata fursa ya kuzungumza na wafanyakazi na viongozi wa mradi huo uliopo eneo la Chongoleani mkoani Tanga.
Katika ziara hiyo Waziri Mkuu Nchemba ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Batilda Buriani na
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba.
$StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)