#MEZAHURU”…..japo nimefuatilia kwa namna flani nimekuja kugundua wadada wa kazi wana changamoto zao binafsi ambazo hawana nguvu ya kuweza kujielezea, kwamba kwa mfano anajua kabisa labda mimi hapa kazi nimeshindwa……sina amani ya kufanya kazi hii ile kusema kwa bosi wake kwamba mimi naona siwezi anaona labda akisema sijui labda atachukuliwaje….”-Tumaini Marco – Mkurugenzi Huduma ya Wadada wa Kazi Smart Hope Tz.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.