#AIBUYAKO:Fuatilia vyombo vya moto vikivunja sheria na kanuni za usalama Barabarani, kwa kuendesha vyombo vyao mpaka kufikia kuishiwa mafuta njiani.
Kipindi hiki kitakuwa #MUBASHARA Facebook na Youtube #ITVTANZANIA, Februari 23, 2026, saa nne kamili usiku
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital ITVUpdates ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.