#HABARI: Mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni saba uko hatarini kusimama baada ya wananchi wa Kata ya Luana, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kuvamia chanzo cha Mto Ilunga na kuendesha shughuli za kibinadamu ikiwemo kilimo na ufugaji.

Kutokana na hali hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Olivanus Thomas, ameagiza wananchi hao kuondolewa mara moja katika eneo hilo ili kulinda chanzo cha maji na kuunusuru mradi huo muhimu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *