“Mfuko wa maendeleo ya Jimbo ulianzishwa kutetea maendeleo ya Majimbo ya uchaguzi, kuanzia mwaka 2020 hadi mwaka 2026 fedha za mfuko wa Jimbo zilizopokelewa Zanzibar ni Tsh. bilioni 8.434, lengo kuu la mafunzo haya ni kupata maoni ya Wabunge katika kufanya marekebisho ya sheria ya mfuko ya maendeleo ya mfuko ili kuboresha utekelezaji wa mfuko na kuchochea maendeleo” Eng. Hamad Masauni – Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais, Muungano na Mazingira.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *