#VIDEO: Askofu Henry Mchamungu ambaye ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam akisoma wasifu wa aliyekuwa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Ibada ya kuaga mwili wake katika Kanisa Kuu la Mt. Yosefu jijini Dar es Salaam.