Mahakama ya jinai ya Paris ilimtia hatiani kwa “njama ya uhalifu” lakini ilimuachia huru kwa mashtaka ya hongo, ufadhili wa kampeni kinyume cha sheria na kujinufaisha kwa ubadhirifu wa fedha za umma.

Hukumu dhidi ya Sarkozy inatarajiwa kutolewa leo, ingawa haitakuwa hukumu ya mwisho kwa kuwa anweza kukata rufaa.

Rais huyo wa zamani lakini amekuwa akikanusha tuhuma hizo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *