Wananchi wa vijiji 17 wilayani Mbulu wanakabiliwa na changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa maji, hali inayowalazimu kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo, kama alivyoshuhudia Hellen Kawiche mkoani Manyara.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)