“Akili ni mali” – msemo huu unaakisi ubunifu wa kipekee katika Saluni ya Kike iliyoko jijini Dar es Salaam ambayo imejizolea umaarufu kutokana na utofauti wa huduma wanazotoa.

Mbali na huduma za urembo kama ususi wa nywele, wateja pia hupata nafasi ya kushiriki ibada ya kusifu na kuabudu, huku huduma hizo zikifanywa kwa ustadi na uangalifu mkubwa.

Rebecca Mbembela alifika saluni hapo na hiki ndicho alichoshuhudia.

Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *