#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoa wa Njombe, imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Moses Batista Msemwa Samsoni (24) Mkazi wa Kijiji cha Mawindi Wanging’ombe, kwa kosa la kujaribu kulawiti mtoto wa miaka sita, Mwanafunzi wa Darasa la kwanza Shule ya Msingi Mawindi.
Mtuhumiwa amekutwa na hatia hivyo Mara baada ya Upelelezi kufanyika, Hakimu Jemes Emmanuel Mhoni ametoa hukumu hiyo ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.