“Mfumo wa utatuzi wa migogoro ya kikodi, ambao bado wadau wanaona hauridhishi na walipa kodi wana mashaka na wanapoteza imani na mfumo uliopo wakiona kuwa vyombo vya utatuzi wa migogoro havina uhuru wa kutosha” – Balozi Ombeni Sefue – Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.