Athari zitokanazo na hali mbaya ya hewa zimetajwa kusababisha hasara ya zaidi ya Dola Trilioni 4.3 katika kipindi cha miaka 50 kati ya mwaka 1970 na 2021.

Mbali na hasara hiyo ya kifedha pia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu milioni mbili huku asilimia 90 vikitokea katika nchi zinazoendelea.

Mhariri | @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *