Mwili wa aliyekuwa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu, William Lukuvi unatarajiwa kuagwa katika ukumbi wa Karimjee jijiini Dar es Salaam Jumamosi Machi 28, 2026 huku Rais Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kuongoza shughuli hiyo.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)