Upigaji wa piano huhitaji takribani miaka kumi au zaidi ili mtu aweze kuwa mtaalamu wa chombo hicho cha muziki. Hata hivyo, imeelezwa kuwa watu wengi kwa sasa wanatumia piano bila kuwa na uelewa wa kina wa misingi yake.
Akizungumza kuhusu hali hiyo Mwalimu wa piano, Jacob Mang’ombe amesema kuwa maendeleo ya sayansi na teknolojia yamechangia kwa kiasi kikubwa kupungua kwa bidii ya kujifunza kwa undani. Amesema kuwa watu wengi wanategemea zaidi mifumo ya mwongozo (tutorials) na teknolojia katika kujifunza kupiga ala, badala ya kufuata mafunzo rasmi na ya kina.
✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | @rajmsangi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)