Wananchi wa kijiji cha Ihalula mkoani Njombe wameomba ufanyike ufuatiliaji wa karibu wa kuwabaini wananchi wenzao wanaowapeleka watoto kufanya kazi kwenye maeneo ya miji badala ya kuwapeleka shule na wakati mwingine kuwakatisha masomo.
Taarifa zaidi na Emmanuel Kalemba ina undani Zaidi.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)