Katika tamaduni nyingi za Afrika, mti wa mbuyu umeendelea kupewa hadhi ya kipekee kama chanzo cha maisha, lishe na tiba za asili.

Katika Bustani ya Wanyama Mbweni JKT jijini Dar es Salaam, upo mbuyu wenye zaidi ya miaka 300 unaovutia si tu kwa umri wake, bali pia kwa simulizi na imani zinazouzunguka.

Mwandishi wetu, Mariam Songoro, ametembelea mti huo na kuandaa simulizi kuhusu historia yake, matumizi yake na nafasi yake katika maisha ya jamii.

Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *