Zanzibar inatarajia kuanza kutumia mabasi yanayotumia nishati ya umeme hivi karibuni, baada ya kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kupakia abiria katika maeneo mbalimbali ya viunga vya kisiwa hicho.

Mkufunzi wa mabasi ya umeme, Said Yussuf amesema utaratibu huo umefanywa ili kuhakikisha usalama wa usafiri na kugundua changamoto yoyote kabla ya kuanza kwa operesheni kamili.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *