“Ninaelekeza Wizara ya Nishati ikamilishe utekelezaji wa miradi ya kupeleka umeme katika vitongoji, vilevile, iweke kipaumbele katika kuunganisha umeme katika hospitali, vituo vya afya, zahanati, shule, taasisi za dini na visima vya maji, aidha, Wizara ya fedha kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati kuimarisha utekelezaji wa wa mradi wa Gridi Imara ikiwa ni pamoja na kuhakikisha fedha zilizotengwa zinatolewa kwa wakati, lengo ni kuondoa tatizo la kukatika mara kwa mara kwa umeme nchini”- Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

#BajetiBungeni

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *