Wanaanga wanne wa misheni ya Artemis 2 sasa wako katikati ya Dunia na Mwezi na wanaendelea kukaribia mwili wa angani ambao watauzunguka katika siku chache, kulingana na data zilizotolewa na NASA siku ya Ijumaa jioni, Aprili 3, shirika la habari la AFP linaripoti.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Chombo cha anga cha Orion kinachowabeba sasa kiko zaidi ya kilomita 219,000 kutoka Duniani, na kitalazimika kusafiri umbali huo huo ili kufika Mwezini, kulingana na data za NASA

“Tuko njiani tukielekea mwezini,” shirika la anga la Marekani limesherehekea kwenye mitandao yake ya kijamii.

Habari zaidi ziakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *