“…ilibidi tumtafute mtu mzima, mwenye maarifa, uzoefu anaeijua hii nchi vizuri…tumuweke pale, kwa hiyo tumeona mtu mzima wetu hapa, ni Mh.Kabudi, kwanza pole nakuapisha kwa mara ya tatu ndani ya kipindi kifupi…sikumuona mtu mwingine mwenye umahiri kama wewe kwenye nafasi hii…”-Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#KIAPOVIONGOZI
(Feed generated with FetchRSS)