Wataalamu wa afya wanashauri kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mara tu baada ya kuamka. Tabia hii rahisi inaweza kusaidia kuamsha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza nguvu kwa siku nzima.

Usisubiri kiu, anza siku yako na glasi ya maji ya uvuguvugu na uone tofauti! đź’§

#AfyaKwanza #LifestyleBora #HealthyLiving #AsubuhiNjema

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *