Jiandae kwa simulizi kali ya mapenzi, usaliti, heshima na misukosuko ya ndoa kwenye filamu ya Couple Goals inayoanza kuonyeshwa kuanzia Aprili 11, 2026 kupitia Azam Max. Filamu hii ni kioo cha maisha halisi ya mahusiano na familia ambacho kitakuacha na maswali pamoja na mafunzo mengi.
Usikubali kupitwa na burudani hii! Pakua App ya Azam Max sasa, lipia shilingi 2,000 tu na uingie kwenye ulimwengu wa Couple Goals kwa wiki nzima. Uhondo wake utakufanya usubiri kwa hamu kila kinachofuata!
#AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)