Mtayarishaji wa filamu ya Couple Goals, Lilian Shirima amesema filamu hiyo si ya kukosa kwani haiishii tu kwenye masuala ya mahusiano, bali inaangazia kwa undani maisha ya ndoa, familia na changamoto zinazojificha nyuma ya taswira ya furaha.
Ili kufahamu nani anapitia nini na simulizi halisi za wahusika, pakua programu ya Azam Max na kulipia shilingi 2,000 tu na ufurahie uhondo huo kwa wiki nzima.
#AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)