Maafisa usafirishaji ‘Bodaboda’ mkoani Rukwa wameilalamikia Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) kwa madai ya kuwakamata na kuwakagua kwa kutumia nguvu.
Sammy Kisika amezungumza na pande zote mbili na ameandaa taarifa ifuatayo.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)