#ChaJuuZaidi: Timu ya #AzamTV na #AzamPesa ilikuwa sehemu ya washiriki wa #BungeMarathon iliyofanyika leo Aprili 18, 2026 jijini Dododoma, ikiwa ni sehemu ya kuwa karibu na jamii kupitia michezo.
Popote utakapoiona timu ya #AzamPesa katika jiji la Dodoma, usisite kuwafuata ili kupata msaada zaidi.
Lipia kisimbuzi cha shilingi 28,000 kwa AzamPesa upandishwe kuangalia chaneli za shilingi 35,000.
CHA JUU ZAIDI
azamtv azampesa
(Feed generated with FetchRSS)