“Fremu hizi haziwapangishi wana CCM peke yao ni wananchi wote wa vyama vyote,CUF wanaruhusiwa,ACT wanaruhusiwa ,CHAUMA wanaruhusiwa CHADEMA wanaruhusiwa na CCM na wananchi wasio na vyama wanaruhusiwa ,CCM hakuna ubaguzi sisi tunafanya kazi na watu wote na vyama vyote,tunachojali ni maslahi ya taifa”Amesema hayo Kihongosi

Akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa kimkakati wa ujenzi wa fremu 252 za biashara za Chama Cha Mapinduzi ,wenye thamani ya shilingi bilioni 3. Kihongosi amesema mradi huo unalenga kuimarisha uchumi wa chama na kuwa chachu ya maendeleo kwa wananchi wote wa Mkoa wa Geita.

✍️✍️ Adam Damian

#startvupdate

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *