Wachimbaji wadogo wa madini katika migodi midogo iliyopo kata ya Mwakitolyo, halmashauri ya wilaya ya Shinyanga wamesimamisha shughuli zao kwa muda wakipinga kuanzishwa kwa tozo mpya ya Shilingi 200,000 kwa kila gari linalobeba mawe kutoka mgodini.
Wachimbaji hao wanasema kuwa gharama za uendeshaji zimeongezeka kwa kiasi kikubwa hivyo kuwafanya shughulizao kukosa tija.
Kasisi Kosta amezungumza nao.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)