Chama cha Wataalamu wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula nchini wameihimiza serikali kutafuta namna ya kuongeza elimu kuhusu usalama wa chakula tangu kinapoanza kulimwa mpaka kinapomfikia mlaji kwa madai kuwa uelewaa uliopo sasa hautoshi hali inayochangia uzalishwaji wa chakula ambacho hakikikidhi viwango na ubora wa virutubishona usalama wa kutosha kwa walaji.

Wasikilize wataalamu hao kama walivyozungumza na kando ya mkutano wao wa mwaka uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *