#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameitaka Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Tabora, kuongeza kasi ya usambazaji wa dawa kwa wakati hasa katika maeneo ya Vijijini ili kuboresha huduma za afya huku wateja wao ambao ni Zahanati, vituo vya afya na hospitali za Wilaya wakitakiwa kulipa madeni kwa wakati, ili kuwezesha bohari ya dawa kupeleka bidhaa za afya zenye ubora kwenye vituo vyote vya kutolea huduma.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
(Feed generated with FetchRSS)