Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaanza kufanyia kazi mara moja mapendekezo ya tume, ikiwemo kuchukua hatua za haraka za kuunda tume ya maridhiano ya kitaifa pamoja na kuanzisha chombo maalum cha upelelezi wa kina kitakachofuatilia hoja za kijinai zilizobainishwa katika taarifa hiyo.
#RipotiYaUchunguzi #AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)