#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Tabora mkoani Tabora, Upendo Wella, amekitaka kikosi cha 212 cha Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kushirikiana na vyombo vingine vya dola kudhibiti haraka iwezekanavyo matukio ya mauaji, ubakaji na uporaji wilayani hapo hususani yanayotokea mara kwa mara katika eneo la Usule linalopakana na kikosi hicho.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)