“Kadri inavyowezekana tutumie sheria zetu vizuri, lakini pia wakati mwingine tutumie busara bila kuvunja sheria, nawaomba uhamiaji na vyombo vingine vya Serikali inapobidi katika mambo yanayoelezwa vizuri kisheria kila inapowezekana tutumie busara bila kuvunja sheria” Dkt.Emmanuel Nchimbi – Makamu wa Rais wa Tanzania.
Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito huo kwa Idara ya Uhamiaji wakati wa uzinduzi wa ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)