Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ameongoza kikao cha mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).

Lengo la kikao hicho ni kujadili masuala ya Muungano.

Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Golden Tulip, Uwanja wa Ndege, Zanzibar na kuhudhuriwa na makatibu wakuu wa pande zote mbili

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *