Kampuni ya Ndege nchini ATCL imeanzisha safari za moja kwa moja kutoka Dar es Salaam hadi Visiwa vya Shelisheli ikiwa nguzo muhimu ya kukuza utalii na kufungua masoko ya Afrika.

Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amezindua safari hizo ambazo zinatajwa zitapunguza muda na gharama na zitaongeza ushirikiano baina ya nchi hizi kama anavyoeleza Upendo Michael.

Mhariri | @rajjmsangi
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *