Wanajeshi wawili wa Marekani wametoweka wakati wa mazoezi ya kijeshi kusini mwa Morocco wakiwa katika zoezi kubwa la kijeshi la kila mwaka liitwalo African Lion.
Mazoezi hayo yanayojumuisha zaidi ya wanajeshi 5000 kutoka nchi zaidi ya 40 yanayoongozwa na Jeshi la Marekani kamandi ya Afrika ili kuimarisha ushirikiano na utayari wa kijeshi kati ya Marekani, NATO na nchi washirika barani Afrika.
Mhariri | @rajjmsangi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)