Taasisi ya Wakaguzi wa ndani Tanzania inaungana na vuguvugu la kimataifa la ukaguzi wa ndani katika kuadhimisha mwezi maalum wa Mei katika uhamasishaji wa ukaguzi wa ndani kwa lengo la kuongeza uelewa wa umma kuhusu umuhimu wa ukaguzi wa ndani kwenye uimarishaji wa utawala bora, uwajibikaji na ufanisi katika taasisi.

Rais wa chama hicho, Jonathan Ngoma amesema miongoni mwa changamoto wanazokumbana nazo katika taasisi mbalimbali ni pamoja na vihatarishi vinavyopelekea kushuka kwa ufanisi wa tasisi husika hivyo wakaguzi kuwa na wajibu wa kutoa miongozo ya kuimarisha utendaji kwa lengo la kusaidia miradi hiyo.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *