Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana nchini kulinda amani kwa mshikamano wao wenyewe, akisisitiza kuwa matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi hayajirudii tena.a Oktoba 29, 2025 hayapaswi kujirudia tena.

Akizungumza Ijumaa, Mei 8, 2026, pembezoni mwa uwanja wa ndege jijini Dodoma, Rais Samia alitoa kauli hiyo baada ya kukutana na makundi ya wananchi, wakiwemo vijana, mama lishe na machinga waliokusanyika kumsalimia kabla ya safari yake ya kikazi kuelekea Dar es Salaam.

Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *