Wakati Jumamosi wiki hii chama cha ACT-Wazalendo kikitarajia kutoa msimamo wake kuhusu ushiriki wake katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), wadau mbalimbali wametoa maoni mseto kuhusu umuhimu wa serikali hiyo kwa maendeleo ya wananchi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *